25 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1066 - Mapigano kwa daraja la Stamford (Uingereza): Mfalme Harold wa Uingereza anazuia jaribio la Wanorway la kuvamia Uingereza. Jeshi la Uingereza laelekea mara moja kwa mbio kusini dhidi ya Wanormandy.
- 1143 - Uchaguzi wa Papa Celestino II
Waliozaliwa [hariri]
- 1862 - Billy Hughes (Waziri Mkuu wa Australia)
- 1866 - Thomas Hunt Morgan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1933)
- 1897 - William Faulkner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1949)
- 1944 - Michael Douglas, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1963 - Keely Shaye Smith, mwandishi wa habari kutoka Marekani, na mke wa Pierce Brosnan
Waliofariki [hariri]
- 1066 - Mfalme Harald III wa Norway kwenye mapigano kwa daraja la Stamford
- 1534 - Papa Klementi VII
- 1617 - Go-Yozei, mfalme mkuu wa Japani (1586-1611)
- 1986 - Nikolay Semyonov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1956)
- 1991 - Klaus Barbie, mwanajeshi wa SS ya Adolf Hitler