Go-Yozei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Go-Yozei (31 Desemba, 157225 Septemba, 1617) alikuwa mfalme mkuu wa 107 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Kazuhito. Tarehe 17 Desemba, 1586 alimfuata babu yake, Ogimachi, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 9 Mei, 1611. Aliyemfuata ni mwana wake, Go-Mizunoo.

Imperial Seal of Japan.svg Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Yozei kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki
Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine