1862
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1830 | Miaka ya 1840 | Miaka ya 1850 | Miaka ya 1860 | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | ►
◄◄ | ◄ | 1858 | 1859 | 1860 | 1861 | 1862 | 1863 | 1864 | 1865 | 1866 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1862 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1862 MDCCCLXII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5622 – 5623 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1854 – 1855 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1311 ԹՎ ՌՅԺԱ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1279 – 1280 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1240 – 1241 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1917 – 1918 |
| - Shaka Samvat | 1784 – 1785 |
| - Kali Yuga | 4963 – 4964 |
| Kalenda ya Kichina | 4558 – 4559 辛酉 – 壬戌 |
- 28 Machi - Aristide Briand (Waziri Mkuu wa Ufaransa na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1926)
- 2 Aprili - Nicholas Butler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1931)
- 5 Juni - Allvar Gullstrand (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1911)
- 7 Juni - Philipp Lenard (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1905)
- 2 Julai - William Henry Bragg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915)
- 29 Agosti - Maurice Maeterlinck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1911)
- 4 Septemba - Carl Velten (mkusanyaji wa hadithi za Kiswahili)
- 25 Septemba - Billy Hughes (Waziri Mkuu wa Australia)
- 6 Oktoba – Albert Beveridge (mwanasiasa wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1920)
- 15 Novemba - Gerhart Hauptmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1912)
Waliofariki [hariri]
- 18 Januari - John Tyler, Rais wa Marekani (1841-1845)
- 24 Julai - Martin Van Buren, Rais wa Marekani (1837-1841)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: