1866
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1830 | Miaka ya 1840 | Miaka ya 1850 | Miaka ya 1860 | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | ►
◄◄ | ◄ | 1862 | 1863 | 1864 | 1865 | 1866 | 1867 | 1868 | 1869 | 1870 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1866 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri]
Waliozaliwa[hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1866 MDCCCLXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5626 – 5627 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1858 – 1859 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1315 ԹՎ ՌՅԺԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1283 – 1284 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1244 – 1245 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1921 – 1922 |
| - Shaka Samvat | 1788 – 1789 |
| - Kali Yuga | 4967 – 4968 |
| Kalenda ya Kichina | 4562 – 4563 乙丑 – 丙寅 |
- 15 Januari - Nathan Söderblom (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1930)
- 29 Januari - Romain Rolland (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1915)
- 11 Machi - Charles Andler, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 12 Agosti - Jacinto Benavente (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1922)
- 21 Septemba - Charles Nicolle (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1928)
- 25 Septemba - Thomas Hunt Morgan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1933)
- 12 Desemba - Alfred Werner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1913)
Waliofariki[hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: