Norwei
|
|||||
| Wito la taifa: Alt for Norge ("Yote kwa Norwei" ni wito wa kifalme) Kiapo kufuatana na katiba ya 1814 : "Enige og tro til Dovre faller" ("Pamoja na waaminifu hadi milima ya Dovre inaporomoka") |
|||||
| Wimbo wa taifa: Ja, vi elsker dette landet Wimbo wa kifalme: Kongesangen |
|||||
| Mji mkuu | Oslo |
||||
| Mji mkubwa nchini | Oslo | ||||
| Lugha rasmi | Kinorwei1 (Bokmål na Nynorsk) |
||||
| Serikali | Ufalme wa kikatiba Harald V Jens Stoltenberg |
||||
| Katiba Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa |
Kutoka maungano na Uswidi 7 Juni 1905 26 Oktoba 1905 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
306,253 km² (ya 613) {{{percent_water}}} |
||||
| Idadi ya watu - 2006 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
4,667,410 [1] (ya 114) 4,520,947 12/km² (ya 202) |
||||
| Fedha | Krone ya Norwei (NOK) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) |
||||
| Intaneti TLD | .no2 | ||||
| Kodi ya simu | +47
- |
||||
| 1Lugha rasmi ya Kinorwei inapatikana kwa namna mbili: bokmål zaidi kama lugha ya kimaandishi na Nynorsk zaidi kama lugha ya majadiliano ingawa inaandikwa pia. Lugha ya Kisami ni lugha rasmi katika miji 6 na Kifinland katika mji mmoja. | |||||
'Norwei (au Unowe au Norwe; kwa Kinorwei Norge/Noreg au rasmi huitwa Ufalme wa Norwei) ni nchi ya Skandinavia katika Ulaya ya Kaskazini.
Imepakana hasa na Uswidi, ila kaskazini na Ufini (Finland) na Urusi pia. Ina pwani ndefu kwenye Bahari ya Kaskazini na ya Atlantiki.
Mji mkuu ni Oslo.
Visiwa vya Svalbard na Jan Mayen katika bahari ya Aktiki ni maeneo chini ya Norwei.
Pia visiwa visivyokaliwa na watu vya Bouvet Island katika Atlantiki ya kusini na Peter I Island katika Pasifiki ya kusini ni maeneo chini ya Norwei.
Nchi inadai pia sehemu ya Queen Maud Land barani Antaktika penye kituo cha kisayansi cha Troll.
Ufalme wa Norwei umekuwa huru tangu mwaka wa 1905. Mkuu wake kwa sasa ni Mfalme Harald V.
Sikukuu ya taifa ni tarehe 17 Mei, ambapo husherekewa katiba ya Norwei ya mwaka wa 1814.
Bunge huitwa Stortinget na wanachama wake huchaguliwa na watu kila baada ya miaka minne.
Yaliyomo |
Watu [hariri]
Takriban watu milioni 4.6 wanaishi nchini Norwei. Wengi wao ni Wakristo wa madhehebu ya Kilutheri.
Miji [hariri]
Mji mkuu wake una wakazi wanaozidi 530,000. Miji mingine mikubwa ni pamoja na Bergen wenye wakazi 230,000 na Trondheim wenye wakazi 150,000; yote miwili imewahi kuwa miji mikuu ya Norwei katika miaka ya mwanzoni.[1]
Uchumi [hariri]
Norwei ilikuwa nchi maskini ya wakulima na wavuvi, lakini tangu kupatikana kwa mafuta ya petroli baharini imekuwa kati ya nchi tajiri kabisa duniani.
Marejeo [hariri]
- ↑ Trondheim - the official website. Rudishwa juu ya 2009-09-04.
Viungo vya Nje [hariri]
| Wikinews has related news: Norway |
| OpenStreetMap has geographic data related to: Norwei |
- Norway.no, Norway's official portal
- Statistics Norway
- State of the Environment Norway
- State of the Environment Norway: About Norway
- Norway entry at The World Factbook
- Norway entry at Encyclopædia Britannica
- Norway from UCB Libraries GovPubs
- Norway.info, official foreign portal of the Norwegian Ministry of Foreign Affairs
- Wikimedia Atlas of Norway
- VisitNorway.com, official travel guide to Norway.
Norway travel guide kutoka Wikisafiri- vifanord – a digital library that provides scientific information on the Nordic and Baltic countries as well as the Baltic region as a whole.
- Birdwatching Norway
- National Anthem of Norway
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Norwei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
||||||||||||||