12 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1974 - Kaisari Haile Selassie wa Ethiopia anapinduliwa na wanajeshi wa DERG
[hariri] Waliozaliwa
- 1949 - Jeremy Cronin, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1960 - Musalia Mudavadi, mwanasiasa wa Kenya
[hariri] Waliofariki
- 1362 - Papa Innocent VI
- 1941 - Hans Spemann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1935)
- 1977 - Steve Biko, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini (aliuawa na mapolisi)
- 1981 - Eugenio Montale (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1975)