Papa Klementi VII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Klementi VII

Papa Klementi VII (26 Mei, 147825 Septemba, 1534) alikuwa papa kuanzia 19 Novemba, 1523 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giulio di Giuliano de' Medici. Alimfuata Papa Adrian VI.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.