Papa Gregori XIV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Gregori XIV

Papa Gregori XIV (11 Februari, 153516 Oktoba, 1591) alikuwa papa kuanzia 5 Desemba, 1590 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Niccolò Sfondrati. Alimfuata Papa Urban VII.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori XIV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.