5 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri]
- 1590 - Uchaguzi wa Papa Gregori XIV
Waliozaliwa[hariri]
- 1443 - Papa Julius II
- 1782 - Martin Van Buren, Rais wa Marekani (1837-1841)
- 1901 - Werner Heisenberg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1932)
- 1901 - Walt Disney, mwongozaji filamu na mwanakatuni kutoka Marekani
- 1903 - Cecil Frank Powell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1950
- 1932 - Sheldon Glashow (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979)
Waliofariki[hariri]
- 1791 - Wolfgang Amadeus Mozart (mwanamuziki Mwaustria)
- 1925 - Wladyslaw Reymont (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1924)
- 1965 - Joseph Erlanger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944)