1903
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 1900 1901 1902 - 1903 - 1904 1905 1906 |
[hariri] Matukio
- 4 Agosti - Uchaguzi wa Papa Pius X
- 3 Novemba - Nchi ya Panama inapata uhuru kutoka Kolombia.
[hariri] Waliozaliwa
- 27 Januari - John Eccles, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 26 Februari - Giulio Natta (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1963)
- 24 Machi - Adolf Butenandt (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1939)
- 6 Julai - Hugo Theorell (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1955)
- 1 Agosti – Paul Horgan (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1955)
- 19 Agosti – James Gould Cozzens, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1949
- 6 Oktoba - Ernest Walton (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1951)
- 22 Oktoba - George Beadle (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958)
- 7 Novemba - Konrad Lorenz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973)
- 27 Novemba - Lars Onsager, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1968
- 5 Desemba - Cecil Frank Powell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1950
- 22 Desemba - Haldan Hartline, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
[hariri] Waliofariki
- 22 Februari - Hugo Wolf, mtunzi wa opera kutoka Austria
- 20 Julai - Papa Leo XIII
- 1 Novemba - Theodor Mommsen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1902)

