2 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1804 - Napoleon Bonaparte anajiwekea taji la "Kaisari wa Wafaransa"
Waliozaliwa [hariri]
- 1885 - George Minot (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1934)
- 1968 - Lucy Liu, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1981 - Britney Spears, mwanamuziki na mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 1547 - Hernando Cortes, mpelelezi kutoka Hispania
- 1987 - Luis Leloir, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1970