1804
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1770 | Miaka ya 1780 | Miaka ya 1790 | Miaka ya 1800 | Miaka ya 1810 | Miaka ya 1820 | Miaka ya 1830 | ►
◄◄ | ◄ | 1800 | 1801 | 1802 | 1803 | 1804 | 1805 | 1806 | 1807 | 1808 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1804 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 1 Januari - Haiti inatangaza uhuru wake kutoka Ufaransa kama "Jamhuri ya watu weusi" ya kwanza na taifa huru la pili katika Amerika (baada ya Marekani)
- 2 Desemba - Napoleon Bonaparte anajiwekea taji la "Kaisari wa Wafaransa"
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1804 MDCCCIV |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5564 – 5565 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1796 – 1797 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1253 ԹՎ ՌՄԾԳ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1219 – 1220 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1182 – 1183 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1859 – 1860 |
| - Shaka Samvat | 1726 – 1727 |
| - Kali Yuga | 4905 – 4906 |
| Kalenda ya Kichina | 4500 – 4501 癸亥 – 甲子 |
- 1 Juni - Mikhail Glinka, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 23 Novemba - Franklin Pierce, Rais wa Marekani (1853-1857)
Waliofariki [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: