3 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1967 - Cape Town: daktari Christiaan Barnard afaulu kuhamisha moyo kutoka kwa mtu kwenda mtu mwingine mara ya kwanza katika dunia.
Waliozaliwa [hariri]
- 1886 - Karl Manne Siegbahn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1924)
- 1900 - Richard Kuhn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1938)
- 1933 - Paul Crutzen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1995)
- 1946 - Raphael Benedict Mwalyosi, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 1154 - Papa Anastasio IV
- 2000 - Gwendolyn Brooks, mshairi wa kike kutoka Marekani