29 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1808 - Andrew Johnson, Rais wa Marekani (1865-1869)
- 1951 - Philip Sang'ka Marmo, mwanasiasa wa Tanzania
- 1975 - Joseph Haule, mwanamuziki wa rap kutoka Tanzania, anayejulikana kama Professor Jay
- 1985 - Kassim Bizimana, mchezaji mpira kutoka Burundi
Waliofariki [hariri]
- 1924 - Carl Spitteler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1919)
- 2004 - Julius Axelrod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970