15 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1972 - Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linaanzisha mradi wa UNEP.
Waliozaliwa [hariri]
- 1852 - Antoine Henri Becquerel (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1903)
- 1860 - Niels Ryberg Finsen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1903)
- 1916 - Maurice Wilkins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 1948 - Cassandra Harris, mwigizaji filamu kutoka Australia
Waliofariki [hariri]
- 1958 - Wolfgang Pauli (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1945)
- 1966 - Walt Disney, mwongozaji filamu na mwanakatuni kutoka Marekani