10 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri]
Waliozaliwa[hariri]
- 1891 - Nelly Sachs (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1966)
- 1903 - William Plomer, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1906 - Ferdinand Alquié, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 1934 - Howard Temin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1975)
- 1935 - Emmanuel Mapunda, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1954 - Rita Louise Mlaki, mwanasiasa wa Tanzania
- 1970 - Mihai Cătălin Frăţilă, askofu Mkatoliki nchini Romania
Waliofariki[hariri]
- 1896 - Alfred Nobel (mhandisi Msweden, na mwanzishaji wa Tuzo ya Nobel)
- 1899 - Ngwane V, mfalme wa Uswazi
- 1936 - Luigi Pirandello (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1934)