11 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1475 - Papa Leo X
- 1803 - Hector Berlioz, mtunzi wa opera kutoka Ufaransa
- 1843 - Robert Koch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1905)
- 1882 - Max Born (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954)
- 1911 - Nagib Mahfuz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1988)
- 1918 - Aleksandr Solzhenitsyn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1970)
- 1963 - Mario Been, kocha wa mpira wa miguu kutoka Uholanzi
- 1981 - Mohamed Zidan, mchezaji mpira kutoka Misri
[hariri] Waliofariki
- 384 - Papa Damaso I
- 1840 - Kokaku, Mfalme Mkuu wa 119 wa Japani (1779-1817)
- 1938 - Christian Lous Lange, mwanasiasa Mnorwei na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1921
- 1978 - Vincent du Vigneaud (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1955)