8 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nov - Desemba - Jan | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1991 - Mwisho wa Umoja wa Kisovyeti, kuundwa kwa Jumuiya ya nchi huria
[hariri] Waliozaliwa
- 1708 - Kaisari Francis I wa Ujerumani
- 1832 - Bjørnstjerne Bjørnson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1903)
- 1865 - Jean Sibelius, mtunzi wa muziki kutoka Ufini
- 1940 - Fortunatus Lukanima, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1947 - Thomas Cech, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1989
[hariri] Waliofariki
- 1980 - John Lennon (mwanamuziki Mwingereza) aliuawa.
- 1997 - Kardinali Laurean Rugambwa wa Dar es Salaam