1989
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | Miaka ya 2010
◄◄ | ◄ | 1985 | 1986 | 1987 | 1988 | 1989 | 1990 | 1991 | 1992 | 1993 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1989 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri]
- 9 Novemba - Nchi ya Ujerumani wa Mashariki inafungulia Ukuta wa Berlin na kuwaruhusu wananchi wake kusafiri bila shida kwenda Ujerumani wa Magharibi.
Waliozaliwa[hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1989 MCMLXXXIX |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5749 – 5750 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1981 – 1982 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1438 ԹՎ ՌՆԼԸ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1410 – 1411 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1367 – 1368 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2044 – 2045 |
| - Shaka Samvat | 1911 – 1912 |
| - Kali Yuga | 5090 – 5091 |
| Kalenda ya Kichina | 4685 – 4686 戊辰 – 己巳 |
- 14 Machi - Colby O'Donis, mwanamuziki kutoka Marekani
- 27 Julai - Savio Nsereko, mchezaji mpira kutoka Ujerumani
Waliofariki[hariri]
- 7 Januari - Hirohito, Mfalme Mkuu wa Japani
- 23 Januari - Salvador Dali, mchoraji kutoka Hispania
- 6 Februari - King Tubby, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 27 Februari - Konrad Lorenz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973)
- 21 Aprili - James Kirkwood (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1976)
- 22 Aprili - Emilio Segre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959)
- 3 Juni - Ayatollah Ruhollah Khomeini aliyekuwa kiongozi wa mapinduzi ya Uajemi ya 1979
- 9 Juni - George Beadle (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958)
- 12 Agosti - William Shockley (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1956)
- 15 Septemba – Robert Penn Warren (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1958)
- 26 Oktoba - Charles Pedersen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1987
- 16 Desemba - Lee van Cleef, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 22 Desemba - Samuel Beckett (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1969)
- 30 Desemba - Etienne Leroux, mwandishi wa Afrika Kusini
Wikimedia Commons ina media kuhusu: