Colby O'Donis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Colby O'Donis

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Colby O'Donis Colón
Amezaliwa 14 Machi 1989 (1989-03-14) (umri 35)
Asili yake Richmond Hill, Queens, New York
Aina ya muziki Pop, R&B, Hip hop
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mpigaji gitaa, mpiga piano, dansa
Miaka ya kazi 1999–hadi leo
Studio Kon Live/Geffen
Ame/Wameshirikiana na Paul Wall, Akon, T-Pain, Lady Gaga, Kardinal Offishall, Romeo
Tovuti Tovuti Rsmi

Colby O'Donis Colón (amezaliwa tar. 14 Machi 1989) ni mtunzi wa nyimbo za pop, R&B, na hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Colby O'Donis.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Maisha ya awali (kwa ufupi)[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa mjini Marble Hill sehemu ya The Bronx, New York, akiwa na asili kamili ya Kipuerto Rico na Kiguyana.[1] Wazazi wa Colby waligundua kipaji cha mtoto wao akiwa na umri wa miaka 3 pale aliposhinda shindano la watoto wenye vipaji kwa kuimba wimbo wa Michael Jackson.

Mara nyingine pia alikuwa akitumbuiza kwa kujifurahisha kila Jumamosi na Jumapili katika kiduka cha baba yake kilichopo mjini Queens.[2]

Shughuli za muziki[hariri | hariri chanzo]

Muziki[hariri | hariri chanzo]

Albamu zake[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Colby O'Donis Bio. myspace. Iliwekwa mnamo 2008-01-03.
  2. The New Kid on the Block. New York Times (2008-09-23). Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-10-19. Iliwekwa mnamo 2008-09-24.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Colby O'Donis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.