Donald Ndombo Ngoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Donald Ndombo Ngoma (amezaliwa Zimbabwe, 4 Februari, 1989) ni mchezaji wa kandanda katika klabu ya Azam F.C. inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania bara.

Donald Ndombo Ngoma anacheza nafasi ya mshambuliaji.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Donald Ndombo Ngoma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.