4 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jan - Februari - Mac | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | ||||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1887 - Iyasu V, mfalme mkuu wa Uhabeshi
- 1897 - Ludwig Erhard, Chansela wa Ujerumani (1963-1966)
- 1906 - Dietrich Bonhoeffer, mwanateolojia nchini Ujerumani
- 1913 - Rosa Parks, mwanaharakati dhidi ya ubaguzi wa rangi
- 1975 - Natalie Imbruglia, mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Australia
- 1978 - Danna Garcia, mwigizaji filamu kutoka Kolombia
Waliofariki [hariri]
- 211 - Septimius Severus, Kaisari wa Roma (tangu 193)
- 708 - Papa Sisinnio
- 1928 - Hendrik Antoon Lorentz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1902)