Papa Sisinnio
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Sisinnio alikuwa papa kwa wiki tatu tu kuanzia 15 Januari, 708 hadi kifo chake tarehe 4 Februari, 708.
Alimfuata Papa Yohane VII akafuatwa na Papa Konstantin.
Viungo vya nje[hariri]
- Kuhusu Papa Sisinnio katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
- Maisha yake kwa Kiitalia katika Enciclopedia dei Papi iliyotolewa na Treccani.
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Sisinnio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |