27 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jan - Februari - Mac | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | ||||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 272 - Flavius Valerius Constantinus atakayejulikana kama Kaisari Konstantino Mkuu na kumaliza mateso ya Wakristo katika Dola la Roma
- 1902 - John Steinbeck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1962)
- 1926 - David Hubel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1981
- 1942 - Robert Grubbs, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2005
- 1966 - Japhet N'Doram, mchezaji mpira wa Chad
[hariri] Waliofariki
- 1887 - Alexander Borodin (mtungaji wa muziki Mrusi)
- 1936 - Ivan Pavlov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1904)
- 1989 - Konrad Lorenz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973)
- 1998 - George Hitchings (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988)