1962
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | ►
◄◄ | ◄ | 1958 | 1959 | 1960 | 1961 | 1962 | 1963 | 1964 | 1965 | 1966 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1962 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 20 Februari - John Glenn anazunguka dunia katika chombo cha angani akiwa Mmarekani wa kwanza kufanya hivyo.
- 1 Julai - Nchi za Burundi na Rwanda zinapata uhuru kutoka Ubelgiji.
- 5 Julai - Nchi ya Algeria inapata uhuru kutoka Ufaransa.
- 6 Agosti - Nchi ya Jamaika inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 9 Oktoba - Nchi ya Uganda inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1962 MCMLXII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5722 – 5723 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1954 – 1955 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1411 ԹՎ ՌՆԺԱ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1382 – 1383 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1340 – 1341 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2017 – 2018 |
| - Shaka Samvat | 1884 – 1885 |
| - Kali Yuga | 5063 – 5064 |
| Kalenda ya Kichina | 4658 – 4659 辛丑 – 壬寅 |
- 1 Januari - Richard Roxburgh, mwigizaji filamu kutoka Australia
- 4 Januari - Binilith Satano Mahenge, mwanasiasa wa Tanzania
- 17 Januari - Jim Carrey, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 20 Aprili - Cosmas Masolwa Masolwa, mbunge wa Tanzania
- 16 Juni - Femi Kuti, mwanamuziki kutoka Nigeria
- 4 Oktoba - Ruth Blasio Msafiri, mwanasiasa wa Tanzania
- 19 Novemba - Jodie Foster, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 15 Machi - Arthur Holly Compton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
- 22 Juni - Shaaban Robert (mshairi maarufu wa Tanzania)
- 6 Julai - William Faulkner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1949)
- 5 Agosti - Marilyn Monroe, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 9 Agosti - Hermann Hesse (mwandishi Mjerumani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1946)
- 3 Septemba - Edward Cummings, mwandishi kutoka Marekani
- 18 Novemba - Niels Bohr (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1922)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: