1966
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | ►
◄◄ | ◄ | 1962 | 1963 | 1964 | 1965 | 1966 | 1967 | 1968 | 1969 | 1970 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1966 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 30 Septemba - Nchi ya Botswana inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 4 Oktoba - Nchi ya Lesoto inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1966 MCMLXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5726 – 5727 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1958 – 1959 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1415 ԹՎ ՌՆԺԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1386 – 1387 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1344 – 1345 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2021 – 2022 |
| - Shaka Samvat | 1888 – 1889 |
| - Kali Yuga | 5067 – 5068 |
| Kalenda ya Kichina | 4662 – 4663 乙巳 – 丙午 |
- 8 Januari - Gianfranco Chiarini, mpishi wa Italia
- 10 Januari - Hawa Ghasia, mwanasiasa wa Tanzania na Waziri wa Huduma za Umma (2005-2010)
- 20 Februari - Dennis Mitchell, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani
- 27 Februari - Japhet N'Doram, mchezaji mpira wa Chad
- 26 Juni - Adam Kighoma Malima, mbunge wa Tanzania
- 30 Juni - Mike Tyson, mpiga ngumi kutoka Marekani
- 22 Julai - Erick Keter, mwanariadha kutoka Kenya
- 7 Agosti - Jimmy Wales, mwanzilishi wa wikipedia
- 22 Agosti - Paul Ereng, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Kenya
- 7 Desemba - Lucía Etxebarria, mwandishi na mshairi kutoka Hispania
- 21 Desemba - Kiefer Sutherland, mwigizaji filamu kutoka Kanada
Waliofariki [hariri]
- 15 Januari - Ahmadu Bello, mwanasiasa wa Nigeria
- 10 Machi - Frits Zernike (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1953)
- 5 Julai - Georg von Hevesy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1943)
- 2 Novemba - Peter Debye (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1936)
- 26 Novemba - Gallus Steiger, askofu wa Peramiho, Tanzania, kutoka Uswisi
- 15 Desemba - Walt Disney, mwongozaji filamu na mwanakatuni kutoka Marekani
Wikimedia Commons ina media kuhusu: