John Steinbeck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
John Steinbeck
Tuzo Nobel.png
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


John Ernst Steinbeck (27 Februari, 190220 Desemba, 1968) alikuwa mwandishi hodari kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa riwaya yake “Zabibu za Hasira” (kwa Kiingereza: Grapes of Wrath) iliyotolewa mwaka wa 1939. Mwaka wa 1962 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Steinbeck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine