1887
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1850 | Miaka ya 1860 | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | ►
◄◄ | ◄ | 1883 | 1884 | 1885 | 1886 | 1887 | 1888 | 1889 | 1890 | 1891 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1887 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 24 Januari - Waethiopia wanawashinda Waitalia katika mapigano ya Dogali.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1887 MDCCCLXXXVII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5647 – 5648 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1879 – 1880 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1336 ԹՎ ՌՅԼԶ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1305 – 1306 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1265 – 1266 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1942 – 1943 |
| - Shaka Samvat | 1809 – 1810 |
| - Kali Yuga | 4988 – 4989 |
| Kalenda ya Kichina | 4583 – 4584 丙戌 – 丁亥 |
- 4 Februari - Iyasu V wa Uhabeshi
- 10 Aprili - Bernardo Houssay (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1947)
- 25 Mei - Mtakatifu Pio wa Pietrelcina, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 31 Mei - Saint-John Perse (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1960)
- 22 Juni - Julian Huxley (mwanabiolojia, na mkurugenzi wa kwanza wa UNESCO)
- 9 Julai – Samuel Eliot Morison (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1943)
- 22 Julai - Gustav Hertz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1925)
- 12 Agosti - Erwin Schrodinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1933
- 13 Septemba - Leopold Ruzicka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1939
- 6 Oktoba - Le Corbusier, msanifu majengo kutoka Ufaransa
- 19 Novemba - James Sumner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946)
Waliofariki [hariri]
- 27 Februari - Alexander Borodin (mtungaji wa muziki Mrusi)
- 4 Juni - William Wheeler, Kaimu Rais wa Marekani (1877-1881)
- 17 Juni - Hugo Birger, mchoraji wa Uswidi
Wikimedia Commons ina media kuhusu: