15 Novemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Okt - Novemba - Des | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1926 - Kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kibritania katika Azimio la Balfour (kwa Kiingereza Balfour Declaration of 1926), mtangulizi wa Jumuiya ya Madola kama ushirikiano wa Uingereza na koloni zake za zamani.
Waliozaliwa [hariri]
- 1397 - Papa Nikolasi V
- 1862 - Gerhart Hauptmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1912)
- 1874 - August Krogh (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1920)
- 1931 - Mwai Kibaki, Rais wa tatu wa Kenya
- 1933 - Gloria Foster, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1976 - Lucy Chege, mchezaji wa voliboli kutoka Kenya
Waliofariki [hariri]
- 1630 - Johannes Kepler, mwanafalaki kutoka Ujerumani
- 1839 - William Murdock (mhandisi Mwingereza, na mvumbuaji wa taa ya gesi)
- 1916 - Henryk Sienkiewicz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1905)
- 1919 - Alfred Werner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1913)
- 1959 - Charles Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927