18 Novemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Okt - Novemba - Des | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1897 - Patrick Blackett, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1948
- 1906 - George Wald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
Waliofariki [hariri]
- 1886 - Chester Arthur, Rais wa Marekani (1881-1885)
- 1922 - Marcel Proust, mwandishi kutoka Ufaransa
- 1941 - Walther Nernst (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1920)
- 1952 - Paul Eluard (mshairi Mfaransa)
- 1962 - Niels Bohr (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1922)