George Wald

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png

George Wald (18 Novemba, 190612 Aprili, 1997) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mabadiliko ya kikemia ndani ya jicho. Mwaka wa 1967, pamoja na Ragnar Granit na Haldan Hartline alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Wald kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine