1939
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 1936 1937 1938 - 1939 - 1940 1941 1942 |
[hariri] Matukio
- 2 Machi - Uchaguzi wa Papa Pius XII
- 1 Septemba - Vita Kuu ya Pili ya Dunia ilianza.
[hariri] Waliozaliwa
- 29 Machi - Terence Hill, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 4 Aprili - Hugh Masekela
- 13 Aprili - Seamus Heaney (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1995)
- 9 Agosti - Romano Prodi, mwanasiasa kutoka Italia
- 21 Agosti - Festus Mogae, Rais wa Botswana
- 5 Septemba - George Lazenby, mwigizaji filamu kutoka Australia
[hariri] Waliofariki
- 10 Februari - Papa Pius XI
- 28 Januari - William Butler Yeats (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1923)

