Susumu Tonegawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Susumu Tonegawa

Susumu Tonegawa (amezaliwa 6 Septemba 1939) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Japani. Hasa alichunguza sifa za kingamaradhi. Mwaka wa 1987 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Susumu Tonegawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.