Gabriel Mmole

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Gabriel Mmole (amezaliwa 1939) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka wa 1988. Tangu mwaka huo, ni askofu wa Jimbo la Mtwara.

Viungo vya nje [hariri]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabriel Mmole kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.