Papa Pius XII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Pius XII

Papa Pius XII (2 Machi, 18769 Oktoba, 1958) alikuwa Papa kuanzia 2 Machi, 1939 hadi kifo chake. Alitoka nchi ya Italia. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Eugenio Maria Guiseppe Giovanni Pacelli. Alimfuata Papa Pius XI na kuvishwa taji 12 Machi, 1939.


Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius XII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine