William Butler Yeats

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
William Butler Yeats
Tuzo Nobel.png

William Butler Yeats (13 Juni, 186528 Januari, 1939) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Ireland; kaka yake mdogo ni Jack Butler Yeats. Hasa aliandika juu ya mizizi ya utamaduni wa nchi yake. Mwaka wa 1923 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Butler Yeats kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine