13 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mei - Juni - Jul | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1865 - William Butler Yeats (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1923)
- 1870 - Jules Bordet (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1919)
- 1911 - Luis Alvarez (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1968)
- 1922 - Etienne Leroux, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1942 - Josaphat Louis Lebulu, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1969 - Joseph Keter, mwanariadha kutoka Kenya
Waliofariki [hariri]
- 1231 - Mtakatifu Antoni wa Padua, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Ureno
- 1935 - Douglas Southall Freeman, mwandishi kutoka Marekani
- 1938 - Charles Edouard Guillaume (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1920)