Charles Édouard Guillaume

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha halisi ya Charles Édouard Guillaume.

Charles Édouard Guillaume (15 Februari 186113 Juni 1938) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uswisi aliyeishi Ufaransa.

Hasa alichunguza vipimo vya muda.

Mwaka wa 1920 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Édouard Guillaume kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.