Douglas Southall Freeman
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Douglas Southall Freeman | |
Douglas mnamo 1916 |
|
| Amezaliwa | 16 Mei 1886 Virginia, Marekani |
|---|---|
| Amekufa | 13 Juni 1953 |
| Nchi | Marekani |
| Kazi yake | Mwanahistoria, Mwandishi. |
| Ndoa | Inez Virginia Goddin |
| Watoto | Mary Tyler Freeman Anne Ballard Freeman James Douglas Freeman |
Douglas Southall Freeman (16 Mei 1886 – 13 Juni 1935) alikuwa mwandishi wa habari kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1935, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa wasifu yake ya Robert Edward Lee.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Douglas Southall Freeman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |