1938
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | ►
◄◄ | ◄ | 1934 | 1935 | 1936 | 1937 | 1938 | 1939 | 1940 | 1941 | 1942 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1938 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 9 Novemba - Usiku wa Chembechembe (kwa Kijerumani: Reichskristallnacht), ambapo WaNazi wanatumia nguvu na vurugu dhidi ya Wayahudi.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1938 MCMXXXVIII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5698 – 5699 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1930 – 1931 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1387 ԹՎ ՌՅՁԷ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1357 – 1358 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1316 – 1317 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1993 – 1994 |
| - Shaka Samvat | 1860 – 1861 |
| - Kali Yuga | 5039 – 5040 |
| Kalenda ya Kichina | 4634 – 4635 丁丑 – 戊寅 |
- 5 Januari - Ngugi wa Thiongo (mwandishi Mkenya)
- 7 Machi - David Baltimore (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1975)
- 8 Aprili - Kofi Annan, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa hadi 2006
- 15 Aprili - Claudia Cardinale, mwigizaji filamu kutoka Italia
- 29 Julai - Enzo G. Castellari, mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 2 Septemba - Giuliano Gemma, mwigizaji filamu kutoka Italia
- 3 Septemba - Ryoji Noyori, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2001
- 4 Oktoba - Kurt Wüthrich, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002
- 15 Oktoba - Fela Kuti, mwanamuziki kutoka Nigeria
- 12 Novemba - Benjamin Mkapa (Rais wa tatu wa Tanzania)
bila tarehe
- Edward Sokoine, mwanasiasa kutoka Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 13 Juni - Charles Edouard Guillaume (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1920)
- 10 Novemba - Kemal Atatürk (Rais wa kwanza wa Uturuki)
- 11 Desemba - Christian Lous Lange, mwanasiasa Mnorwei na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1921
- 27 Desemba - Zona Gale, mwandishi wa kike wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1921
Wikimedia Commons ina media kuhusu: