10 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mei - Juni - Jul | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri]
Waliozaliwa[hariri]
- 1915 - Saul Bellow (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1976)
- 1951 - Isaac Amani Massawe, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1976 - Mariana Seoane, mwigizaji na mwimbaji kutoka Mexiko
Waliofariki[hariri]
- 1580 - Luís de Camões, mshairi Mreno
- 1588 - Valentin Weigel (mwanateolojia Mjerumani)
- 1949 - Sigrid Undset (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1928)
- 1973 - William Inge (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1954)