1976
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | ►
◄◄ | ◄ | 1972 | 1973 | 1974 | 1975 | 1976 | 1977 | 1978 | 1979 | 1980 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1976 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 29 Juni - Visiwa vya Shelisheli vinapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1976 MCMLXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5736 – 5737 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1968 – 1969 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1425 ԹՎ ՌՆԻԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1396 – 1397 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1354 – 1355 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2031 – 2032 |
| - Shaka Samvat | 1898 – 1899 |
| - Kali Yuga | 5077 – 5078 |
| Kalenda ya Kichina | 4672 – 4673 乙卯 – 丙辰 |
- 4 Aprili - Saida Karoli, mwimbaji kutoka Tanzania
- 24 Aprili - Afande Sele, mwanamuziki wa Bongo Flava kutoka Tanzania
- 7 Mei - Carrie Henn, mwigizaji kutoka Marekani
- 29 Mei - Francis Kimanzi, mchezaji mpira kutoka Kenya
- 10 Juni - Mariana Seoane, mwigizaji na mwimbaji kutoka Mexiko
- 19 Julai - Diether Ocampo, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
- 26 Septemba - Michael Ballack mchezaji mpira kutoka Ujerumani
- 27 Septemba - Francesco Totti mchezaji mpira kutoka Uitalia
- 15 Novemba - Lucy Chege, mchezaji wa voliboli kutoka Kenya
- 27 Novemba - Jean Grae, mwanamuziki wa Marekani
- 13 Desemba - Rama Yade, mwanasiasa wa Ufaransa kutoka Senegal
bila tarehe
- Mwajuma Abdul, mwigizaji filamu kutoka Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 1 Februari - George Whipple (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1934)
- 1 Februari - Werner Heisenberg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1932)
- 17 Aprili - Henrik Dam (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1943)
- 15 Mei – Samuel Eliot Morison (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1943)
- 31 Mei - Jacques Monod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 25 Agosti - Eyvind Johnson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1974)
- 26 Septemba - Leopold Ruzicka (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1939)
- 5 Oktoba - Lars Onsager, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1968
bila tarehe
- James Jolobe, mchungaji na mshairi wa Afrika Kusini aliyeandika hasa kwa Kixhosa
Wikimedia Commons ina media kuhusu: