Francesco Totti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Francesco Totti | ||
![]() |
||
| Maelezo binafsi | ||
|---|---|---|
| Jina kamili | Francesco Totti | |
| Tarehe ya kuzaliwa | 1976, Septemba 27 | |
| Mahala pa kuzaliwa | Roma, Uitalia | |
| Urefu | 1.80m | |
| Nafasi anayochezea | Mshambuliaji | |
| Maelezo ya klabu | ||
| Klabu ya sasa | Roma | |
| Namba | 10 | |
| Klabu za ukubwani | ||
| Miaka | Klabu | |
| 1992- | Roma | |
|
* Magoli alioshinda |
||
Francesco Totti (amezaliwa 27 Septemba, 1976 katika mji wa Roma) ni mchezaji wa kandanda wa Italia. Yeye hucheza kama mshambuliaji katika klabu ya Roma katika ligi ya Serie A ya Uitalia.
