James Jolobe
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
James J. R. Jolobe (1902 - 1976) alikuwa mchungaji na mshairi wa Afrika Kusini. Aliandika mashairi mengi ya Kixhosa.
Angalia pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu James Jolobe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |