Werner Heisenberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Werner Heisenberg

Werner Karl Heisenberg (5 Desemba 19011 Februari 1976) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Alivumbua umekaniki wa kwanta na kutangaza Kanuni ya Heisenberg ya Utovu wa Hakika. Pia alifanya utafiti wa msingi kuhusu fizikia ya kiini. Mwaka wa 1932 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Mpaka mwaka wa 1970 alikuwa mkurugenzi wa Taasisi ya Max Planck kwa Fizikia ya Nyota.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Werner Heisenberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.