Lucy Chege

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Lucy Chege (amezaliwa 15 Novemba 1976) ni mchezaji wa voliboli kutoka nchini Kenya. Amekuwa nahodha ya timu ya kitaifa ya wanawake ya Kenya ya voliboli.[1]. Ameshiriki katika Kombe la Dunia la Voliboli. Nchini Kenya,anachezea kilabu cha voliboli cha Kenya Pipeline.

Ni bibiye David Munyasia, bondia wa Kenyan aliyepatikana kutumia dawa aina ya cathine mnamo 6 Agosti, iliyopelekea kuzuiliwa kushiriki Michezo ya Olimpiki ya mwaka huo [2].

Marejeo [hariri]

  1. FIBV: [Kenya picks 13 for Four Nations event]
  2. 17 Septemba 2006: Boxer Munyasia is back

Kigezo:Mbegu-wanamichezo-Kenya