Henrik Dam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png

Carl Peter Henrik Dam (21 Februari, 189517 Aprili, 1976) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Denmark. Hasa anajulikana kwa kugundua vitamini K. Mwaka wa 1943, pamoja na Edward Doisy alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henrik Dam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.