Francis Kimanzi
Kigezo:Infobox football player
Francis Kimanzi (amezaliwa 29 Mei 1976 mjini Kitui) [1] ni mkufunzi wa kitambo wa timu ya kandanda ya kitaifa ya Kenya ambaye kwa sasa ni meneja wa klabu ya Mathare United.
Yaliyomo |
Wasifu [hariri]
Wasifu wake wa Uchezaji [hariri]
Kimanzi alicheza kabumbu ya klabu na klabu ya Mathare United kati ya miaka ya 1994 na 2002, kabla ya kuwa meneja.[1]
Wasifu wa Ukocha [hariri]
Kimanzi aliteuliwa kama meneja wa timu ya kandanda ya kitaifa ya Kenya tarehe 11 Desemba 2008,[2] baada ya kuwa katika nyadhifa ya mwangalizi tangu Mei 2008.[3] Alifutwa kazi kutoka nyadifa ya kocha wa timu ya Kitaifa baada ya Kombe la CECAFA mnamo Januari mwaka wa 2008 kutokana na migogoro kati yake na watawala wa kandanda ya Kenya.[4]
Ugambo [hariri]
Kimanzi amesema hadharani dhidi ya makocha wa kigeni katika Afrika.[5]
Marejeo [hariri]
- ↑ 1.0 1.1 Francis Kimanzi. Kenya Soccer Institute. Rudishwa juu ya 2008-12-11.
- ↑ Kimanzi returns as Kenya coach. BBC (2008-12-11). Rudishwa juu ya 2008-12-11.
- ↑ Confusion over Kenya coach. BBC (2008-11-27). Rudishwa juu ya 2008-12-11.
- ↑ Kimanzi sacked as Kenya coach. BBC (2009-01-18). Rudishwa juu ya 2009-01-19.
- ↑ Kimanzi slams foreign coaches. BBC (2008-10-09). Rudishwa juu ya 2008-12-11.
Viungo vya nje [hariri]
- Kenya Footie-tovuti ya Kandanda Kenya
|
|||||
| Makala hii kuhusu Mchezaji Soka wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Francis Kimanzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |