31 Mei
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Apr - Mei - Jun | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1857 - Papa Pius XI
- 1887 - Saint-John Perse (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1960)
- 1930 - Clint Eastwood, mwigizaji, mwongozaji na mwandaaji wa filamu kutoka Marekani
- 1931 - Robert Schrieffer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1972)
Waliofariki [hariri]
- 1524 - Batista Varano, bikira mtawa wa Italia
- 1967 - Billy Strayhorn, mwanamuziki wa Marekani
- 1976 - Jacques Monod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 1986 - James Rainwater (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975)