27 Mei
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Apr - Mei - Jun | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1897 - John Douglas Cockcroft (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1951)
- 1912 - John Cheever, mwandishi kutoka Marekani
- 1915 - Herman Wouk (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1952)
- 1926 - Rashidi Kawawa (mwanasiasa kutoka Tanzania)
- 1987 - Gervais Yao Kouassi, mchezaji mpira wa Cote d'Ivoire
Waliofariki [hariri]
- 1910 - Robert Koch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1905)
- 1987 - John Howard Northrop (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946)
- 1988 - Ernst Ruska (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1986)